Breaking


Thursday, October 05, 2017

JINSI YA KUIRUDISHA PLAYSTORE KWENYE SIMU YAKO

JINSI YA KUIRUDISHA PLAYSTORE KWENYE SIMU YAKO 

 

wanakwetu habari, ni matumaini yangu kwamba wote ni wazima, leo nimeona nishare nayi somo hili dogo lakini naamini litakuwa msaada kwa wengi, hii ni kutokana na maombi ya wanakwetu wengi kutaka kujua ni jinsi gan wanaweza kuirudisha playstore kwenye simu zao. 


tuendelee'.....
PLAYSTORE ni moja ya app ambayo inakuwezesha kudownload app mbalimbali za simu ikiwemo whatsapp na nyingine nyingi, sasa kuna wakati mtu anapoflshi au kurreset simu huwa inapotea.  niseme kuna njia nyingi sana za kuirudisha APP hii ila leo nitaelekeza moja ambayo nnauhakika itatatua tatzo lako. kwa kutumia hatua hizi rahisi utaweza kuirudisha APP yako ya PLAYSTORE kama zamani.
HATUA
1. nenda kwenyye setting
2. tafuta neno security
3. weka tick kwenye "all installation from unkown sources"
4.sasa tumia browser yoyote ikiwemo operamin, au google chrome au yoyote unayotumia kuingia internet, na andika hivi http://www.apkmirror.com/?post_type=app_release&searchtype=apk&s=google+playstore
ukishindwa andika http://www.apkmirror.com kisha search neno PLAYSTORE , 
5.utaona inakuja hapo na itakuonesha option ya kudownload, idownload
6.ukishadownload nenda kwenye file manager then kwenye download utaikuta hoiiyo apk uliyodonload
7.iclick na ubonyeze install , then next hapo utakuwa umemaliza 
8.Irestart simu yako na uingie playstore kwa kujaribu download app yoyote unaweza hata kujaribu kudownload APP ya hii website inaitwa OBBY MJUZI. nenda playstore search neno OBBY MJUZI. 
9. Huu ndo mwisho wa somo, asante na karibu tena
IMEANDALIWA
techskills

No comments: