Breaking


Sunday, August 20, 2017

Jinsi ya kusave microsoft document kwenye microsoft word

Karibu techskills blog leo tutajifunza jinsi ya kusave microsoft document
 
fuata hatua zifuatazo ili  uweze kusave microsoft document
 
hatua ya 1:  fungua new document in Word and andika ulihokuwa umekusudia kuandika
 
hatua ya 2:    Bonyeza File katika kona ya screen .kwenye mkono wako wa kushoto
 
File button
 
kwa wale wanao office 2007 kwa muonekano file linaonekana hivi ila liko kwenye kona ya screen .kwenye mkono wako wa kushoto
 
Office button
 
hatua ya  3: baada ya kubonyeza file, chagua Save.
 
Save
 
hatua ya 4: baada ya kubonyesha save itakupa chaguo ni sehemu gani unataka kusave kazi yako ambayo umetengeneza kwenye microsoft word
 
Public documents
 
hatua ya 5: Andika jina ambalo unataka kuisave hiyo kazi yako (unashauriwa kusave kitu ambacho kitakuwa kinaendana na kazi yako
 
Save as type
 
hatua ya 6: baada ya kuandika jina ms word yako bonyeza Save.
 
Save document
 
hatua ya 7: baada ya hapo utaona document yako inajina ambalo umelisave ,Baada ya hapo utakuwa umeweza kusave microsoft document yako kwa haraka na rahisi
 
 
by techskills

No comments: